Â
Tangazo la HISA
Tangazo la HISA Mkutano Mkuu wa Mwaka 2024 uliazimia kuongeza kiwango cha chini cha HISA kutoka hisa 30 hadi 50 kwa kila mwanachama; yaani kutoka TSH600,000 hadi TSH 1,000,000 Hivyo unahimizwa kukamilisha hisa zako kwa kulipa kiasi kinachopungua kupitia mojawapo ya akaunti za benki zifuatazo ili uendelee kupata huduma kama kawaida:Â
Jina la Akaunti ni: TRA SACCOS LTD
- NBC 012103020266,
- CRDB 01J1328947802,
- NMB 20310008081,
- AZANIA 00100021049
Â