Kwa wastani malipo ya mikopo ufanyika kama ifuatavyo:
- Mkopo wa Papo2Papo huchukua siku 1
- Mkopo wa Dharura siku 3; ila kama kiasi cha mkopo hakizidi 2,000,000/=, inachukua siku 1
- Mkopo wa Maendeleo ya Jamii huchukua hadi siku 7
- Mkopo wa Elimu huchukua siku 5
NB: Ikumbukwe kwamba Mwanachama ana wajibu kuhakikisha anakamisha kujaza offer ya mkopo husika, mkataba wa mkopo pamoja na fomu mbili za wadhamini na kisha kuzirejesha ama kwa mfumo laini ama kwa kuzileta fomu halisi katika ofisi za chama kuwezesha mchakato wa kutoa mkopo huo